MATUKIO MUHIMU KWA LIL WAYNE

Young money member toka cash money record Lil Wayne amesema kuwa. Tangu aanze muziki amewahi kutana na matukio muhimu makuu mawili tu. Nay ni

1: alipopokea tuzo yenye hadhi ya Grammy
2: alipopokea message toka kwa legend wa Hip Hop (Jay z).

Kumbuka kwa sasa Lil Wayne anafanya kazi na label ya mkubwa Jay z.

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT