KANISA LA WAVUTAJI BANGI DUNIANI KUZINDULIWA APRIL 20, WAFAHAMU WASANII WATAKAO TUMBUIZA

nchini marekani. Taasisi ya dini Elevation Ministries inategemea kuzindua Manisa la wavutaji bang. The international church of cannibes ambalo litazinduliwa tarehe 20 ya mwezi huu. Lengo in kuwapa Uhuru Wa kuabudu. Waumini watajiita Elevationists.
Msanii 2 Chains ni mmoja wapo wa wasanii waliojitokeza kutumbuiza siku ya uzinduzi wa kanisa hilo.
Jengo hilo lina miaka 113 na hivi punde ndio limefanyiwa ukarabati.

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT