HARMO RAPPER ASEMA HAYA KUHUSU UTAJIRI WAKE NA KUMILIKI BASTOLA.

Msanii mdogo mchachari anayeteka vichwa vya habari kila kukicha kwa vituko vyake "kiki" amesema kuwa. Hata kama ana utajili mkubwa kiasi kwani ana miliki gari, nyumba na vingine. Lakini hajawaza au kupanga kumiliki bastola kwa muda huu. Maana kama ni ulinzi anao Wa kutosha. " Nina bodigadi mkali aliyepanda juu. Hivyo kumgusa, au kumuona au hata kukutana na HARMO RAPA sio rahisi kama unavyofikiria".

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT