Posts

Showing posts from 2017

LIL WAYNE ASHITAKIWA KWA UBAGUZI WA RANGI.

Image
Msanii lil Wayne (weezy) alifanya tukio la kumpiga ngumi na kumtusi f*k u white boy. Mlinzi Wa club ya Hyde baada ya party waliyokuwa wameenda kuipiga kuisha akiwa na kundi lake. Shitaka la lil Wayne ni kuhusu kumdhalilisha na kumbagua Mzungu huyo kisa rangi yake ya uweupe. 

JIBU LA GIGY MONEY KWA MASHABIKI (DISI) JUU YA KUKONDA NA KUPOTEZA UMBO LAKE ....

Image

DJ KHALID ATANGAZA UJIO WA PINI NA DRAKE.

Image
Msanii wa hip hop dj Khalid ameandika na kutangaza kwa ujio wa collabo kati yake na Drake. Pini hilo limepewa jina la TO THE MAX na cover itakuwa ina mtoto wake DJ. Aidha song hilo limo ndani ya album yake ya GRATEFUL ambamo WASANII kama Beyonce, jay z, lil Wayne, rihana, Justin bearber na wengine kibao wamo. 

MAPOVU YA GIGY MONEY KUTOKA KWA MASHABIKI KUHUSU KUKONDA KWAKE....

Image

HIKI NDICHO ALICHOSEMA WEMA SEPETU KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA MH.MBOWE....

Image

ALICHOKIANDIKA STEVE NYERERE KUHUSU TETESI ZA KUWAGOMBANISHA WEMA NA MH.MBOWE.....

Image

CHEK DIS YA BARAKA DA PRINCE JUU YA WIMBO WA BEN PAUL, TATU...

Image

PICHA YA BEN PAUL ILIYOZUA KIZAA ZAA MTANDAONI...

Image
Msanii wa bongo fleva Bernard Paul a.k.a Ben Paul alitupia picha yake (tazama hapo chini)  Akiwa uchi machoni mwaka watu. Picha ambayo watu wameitafsiri kwa namna tofauti. Mara anatafta kiki, Mara kakamatwa na mengine mengi. Ila mhusika hakusema kitu. Bali alirudia kuweka picha hiyo ikiambatana na muziki na ujumbe kuwa. Usihukumu kwa ukionacho bila kufungua au kujua undani wake. Yaonekana hiyo itakuwa cover ya wimbo mpya.

HII NDIYO ORODHA YA WASHINDI WA TUZO ZA BILLBOARD 2017... DRAKE AONGOZA.

Image

CHRIS BROWN APEWA TUZO NA YOUTUBE....

Image
Msanii Chris brown amepewa tuzo hiyo.. Picha hapo chini. 👇👇👇 na mtandao Wa YouTube baada ya kufikisha idadi ya subscribers Millioni moja 1,000,000. 

ALICHOKIANDIKA RAY C KUHUSU DIAMOND HIKI HAPA....

Image
Msanii mkongwe wa Bongo fleva Rehema Challamila a.k.a ray c ameaandika haya katika mtandao wa Instagram kuhusu msanii diamond plutnumz. Soma hapo chini....👇👇👇👇

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

Image
Msanii ambaye ndiye boss wa kundi lenye label ya WCB Diamond Plutnumz Leo amemtambulisha msanii mpya aitwaye Lava lava. Utambulisho huo umeambatana na ngoma mpya (wimbo) alioutoa msanii Huyo uitwao TUACHANE. pichani ni wa kwanza toka kushoto. Aliyemshika bega Rayvany.  

Wema sepetu ahudhuria msiba wa shabiki yake...

Image
Star wa bongo movie. Miss Tanzania 2006 amehudhuria msiba wa mmoja wa mashabiki wake @mwajuma_pesa (Instagram) baada ya kupata taarifa kuwa alikuwa shabiki wa team yake dam dam . ni baada ya kukuta amepost picha na video zake katika akaunti yake. Na kutoa rambi rambi kwa wafiwa. Ni swala la kuigwa kwa wasaniiI wengine.

Star wa filam ya kuch kuch hota hai afariki dunia

Image
Star huyo anayejulikana kwa jina la reema legoo amefaliki dunia jana . kwenye filam ya kuch kuch hota hai aliigiza kama mama wa kejoi

HII NDIYO ORODHA YA TUZO ZA BET2017....

Image

HUYU NDIYE MISS USA 2017

Image

MSANII DOGO MFAUME KAAGA DUNIA

Image
Aliyekuwa Msanii wa bongo fleva aliyetamba na wimbo wa kazi ya dukani kaaga dunia jana .

DOGO JANJA ASEMA DAVIDO HAJUI KUVAA. ATAJA WASANII BONGO WANAOMFATA...

Image
Msanii dogo janja toka kundi la Tip Top connection ameongelea uvaaji wa  msanii toka Nigeria Davido kuwa ni wa kishamba japokuwa anapesa. Hanunua nguo za Ku hit, zinazomfit fresh mwilini.  Aidha amesema kuwa. wasaniiI wengi Wa bongo pia hawawezi kushindana nae katika mavazi kwani wao husubili kutungua nguo kariakoo wakati yeye anaagiza zake toka mbele (nje) Vile vile ametaja list kidogo ya wasanii wanaojitahidi kumfata japo so sana kuwa ni kama, Jux (juma) G nako Na kidogo sana Job makin.

BEYONCE AONGOZA ORODHA YA KUWANIA TUZO ZA BET2017

Image
Msanii Beyonce ameonekana kutokea kwa wingi katika kategoria kadhaa wa kadha kuwania tuzo za bet2017 zitakazofanyika nchini malekani mjini Los Angeles...juni 25 mwaka huu Angalia hapo chini..

RAYVANY ATOA SIRI YA MAFANIKIO YAKE

Image
Msanii Wa bongo fleva nchini Tanzania toka kundi la WCB Raymondy au rayvany ameelezea na kutaja mambo muhimu yaliyomfanya MPAKA amefika hapo alipo na MAFANIKIO aliyoyapata kuwa ni 1. Mungu 2. Nidhamu 3.juhudi Bila kusahau sapot toka kwa mashabiki  Vitu hivyo ndivyo vimempelekea mpaka sasa ameteuliwa kuwania tuzo ya International viewers choice kutoka tuzo za BET2017 

MAPACHA WALIOUNGANA WAMEHITIMU KIDATO. CHA SITA WAOMBA HIKI

Image
Mapacha hao waliozaliwa wakiwa wameungana kama uwaonavyo katika picha. Mkoani iringa. Wamehitimu kidato cha SITA. Na wametoa ombi kwa watu wote nchini kama kuna uwezekano wakawasaidia kifedha ili waanzishe ujasiliamali kwa ajili ya kujikimu. Wamelitamka hill baada ya mkuu wa mkoa mkoani humo kuwatembelea ili kujua maendeleo yao na kuwapongeza.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Image
Juzi juzi ilikuwa Siku ya kuzaliwa ya muigizaji na aliyekuwa miss Tanzania 2006 wema mtoto Wa Mzee sepetu. Tangu alipoanza kufurahi Siku yake ya kuzaliwa ukumbini ghafla furaha ilipote baada ya mwanalimbwende muuza nyago katika video za wasanii mbalimbali nchini gigy money "gigy kiuno" kuonekana anacheza na baadhi ya zilipendwa wa wema tena kihasalahasala yaani kwa mitego mitego.

TIMU KIBA wawanyampisha timu mond kwa picha hii...

Image
Msanii ally kiba amepost picha akiwa na msanii wa kundi la p square (peter) kufuatia picha hiyo timu ya mashabiki wake wamepata la kuongea juu ya wapinzani wao timu mond. Mara oooh mind si lolote, nao mujibu, mnakopita sisi tushapita kabla. Tunatarajia nini mbeleni... Twende sambamba katika blog hii..

HARMO RAPA: DOGO JANJA NI MREMBO TU...

Image
Kufuatia kiki juu ya kiki ya msanii dogo janja juu ya kudai hakuna anaemshinda kuvaa kwa wasanii wote. Msanii Harmo rapa amejibu shambulizi hill kipindi akitambulisha ngoma yake ya Nundu ndani ya Friday night show ya eatv. Amesema kuwa. "Dogo janja aache tabia yake ya kujisifu kuvaa kushinda wote kwani kuna wanyamwezi kama sisi ila hatusemi tunavaa hatari. Janjaro ni mrembo tu japo snatokea chugga".

PICHA: DIAMOND ANASWA AKIMNYATIA WEMA...

Image
Siku ya siku ya kuzaliwa muigizaji wema sepetu. Mapaparazi walomnasa msanii diamond plutnumz. SIMBA akiwa anamnyatia ex wake huyo wa zamani kiasi ambacho alitaka kumukumbatia au kumshika ili aongee nae au ampige busu.