DIAMOND PLUTNUMZ AOMBA MSAMAHA.

DIAMOND PLUTNUMZ AMUOMBA MSAMAHA ASIKOFU GWAJIMA.
Hii ilikuwa ni baada ya msanii huyo kutoa wimbo wake kwa "acha nikae kimya"
Alimtaja askofu huyo kwa kuwa na bifu na mkuu Wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda. Na ajaoneza eti kiss ni binti Wa mgandao ndio mchochezi kwa kusema amezaa na askofu hiyo. "Aliyeniimba Mimi katika wimbo wake kesho alimasi itageuka kuwa maji" askofu aliyasema hayo juzi katika mahubiri take kanisani.

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT