BARAKAH DAH PRINCE ASEMA HAPANGIWI CHA KUFANYA NA MASHABIKI WA ALLY KIBA.

Msanii dah prince anayebamba kinoma noma na ngoma yake ya " acha niende" amesema hayo baada ya kutukanwa na kusemwa sanaaaa na mashabiki baada ya kupost picha hiyo hapo juu katika mitandao ya kijamii. Mashabiki wadai ni msaliti kwa ally kiba baada ya kushirikiana na label ya rock star. Da prince azuka na kusema. Mashabiki wasimpangie cha KUFANYA. Zaidi wasubili vitu vizuri.

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT