BONGE LA NYAU AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA SHILOLE.

Msanii wa bongo fleva bonge la nyau a.k.a Big pusi. Amekanusha madai ya watu kuhusu yeye na shilole "shishi baby" kuwa ni wapenzi. Tetesi hizo zilizuka mitaani baada ya kuona wawili hao wanakuwa wote kwa mda mwingi. La nyau adai ni kuhusu kazi "project" je hii ni sawa??????????? Jiulize.
La nyau vile vile adai kwa sasa yeye ana mpenzi wake na wamebarikiwa mtoto mmoja.

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT