DRAKE KUTOONEKANA KATIKA VIDEO YA "COME CLOSER" SABABU HII HAPA

Super star Wa muziki wa Nigeria wizkid a. k.a Star boy amesema sababu ya drake kushindwa kuonekana kwenye video ya collabo yao ya come closer. Wizkid amesema haya "Kipindi drake ana shoot video ya "one dace" alikuwa na dharura kidogo. Na yeye kipindi ana shoot "come closer" drake alikuwa mwenye tour". Wizkid amesema hayo baada ya mashabiki wake kumuandama na kuchukizwa na kitendo hicho.
    PATA HABARI ZA MASTAA HAPA.
AUDIO NA HATA VIDEOS. 
USIKOSE KUTEMBELEA BLOG HII

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT