JAY Z KASUGUA BENCHI YA MWAKA MMOJA NA BEYONCE

Legend of hip hop. Jay z kupitia mwandishi wa wasifu wake. Imeelezewa kuwa. Jay z aliwekwa pembeni kama rafiki kwa mwaka mmoja na mpenzi wake Beyonce kabla ya kuingia kwenye mahusiano.

Mwandishi amesema. Jay z haku zingua kwani alijua anachokitafta.

Hadi sasa wana takribani miaka 9 kwenye ndoa na wamebarikiwa mtoto mmoja.

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT