Posts

Showing posts from April, 2017

MATUKIO MUHIMU KWA LIL WAYNE

Image
Young money member toka cash money record Lil Wayne amesema kuwa. Tangu aanze muziki amewahi kutana na matukio muhimu makuu mawili tu. Nay ni 1: alipopokea tuzo yenye hadhi ya Grammy 2: alipopokea message toka kwa legend wa Hip Hop (Jay z). Kumbuka kwa sasa Lil Wayne anafanya kazi na label ya mkubwa Jay z.

JAY Z NA BEYONCE NDIYO COUPLE TAJIRI

Image
Takwim ya mwaka Jana iliyotolewa na Forbes ilielezea kuwa. Mpaka mwaka jana Jay z alidaiwa kuwa na dola million 610 na Beyonce dola million 289. Kwa hali hiyo zikiwekwa pamoja ni dhahili utajiri wao utafikia dola billion 1.

JAY Z KASUGUA BENCHI YA MWAKA MMOJA NA BEYONCE

Image
Legend of hip hop. Jay z kupitia mwandishi wa wasifu wake. Imeelezewa kuwa. Jay z aliwekwa pembeni kama rafiki kwa mwaka mmoja na mpenzi wake Beyonce kabla ya kuingia kwenye mahusiano. Mwandishi amesema. Jay z haku zingua kwani alijua anachokitafta. Hadi sasa wana takribani miaka 9 kwenye ndoa na wamebarikiwa mtoto mmoja.

HARMONIZE ANUNUA BASTOLA KWA AJILI YA ULINZI.

Image
Kupitia account yake ya Instagram msanii harmonize toka WCB group amepost mguu wa kuku atakaoutumia kwa ajili ya ulinzi wake.

RAYVANY AWA BABA.

Image
Msanii wa bongo fleva toka kundi la WCB amefanikiwa kupata mtoto wake Wa kwanza kupitia mpenzi wake Fahyma.

NAWEZA TEMBEA NA CHIZI AS LONG AS ANA F**K VIZURI. BY AMBER LULU.

Image
Mwana mitindo amber lulu ambaye vile vile ni staa wa bongo fleva ametoa moja ya sifa ya mwanaume ambaye anaweza tembea nae. Kuwa hata kama awe chizi au vipi imradi ajue Ku f**k vizuri.

T.I KUACHANA NA MKE WAKE KISA NI MAYWEATHER

Image
Miezi sita nyuma msanii T.I alisikia tetesi za kuwa mkewe Tiny. Alifanya MAPENZI na bondia mayweather . na baada ya tetesi hizo amekuwa mkali kwa mkewe na kushindwa kumwamini. Ambapo hadi juzi alipompatia taraka.

JUX AKANUSHA SUALA LA KUITWA SINGLE BOY

Image
Baada ya story za kitaani kusikika kuwa jux na v money. "Cash madame" wametemàna kimya kimya. Juzi kati katika kipindi cha Friday night live. Eatv. Jux amemtolea nje Sam misago kwa kumwambia "kwanza naomba nikusahihishe suala la Mimi kuniita single boy. Mimi sio single boy. Kama v money nipo nae its  my business".

BONGE LA NYAU AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA SHILOLE.

Image
Msanii wa bongo fleva bonge la nyau a.k.a Big pusi. Amekanusha madai ya watu kuhusu yeye na shilole "shishi baby" kuwa ni wapenzi. Tetesi hizo zilizuka mitaani baada ya kuona wawili hao wanakuwa wote kwa mda mwingi. La nyau adai ni kuhusu kazi "project" je hii ni sawa??????????? Jiulize. La nyau vile vile adai kwa sasa yeye ana mpenzi wake na wamebarikiwa mtoto mmoja.

KANISA LA WAVUTAJI BANGI DUNIANI KUZINDULIWA APRIL 20, WAFAHAMU WASANII WATAKAO TUMBUIZA

Image
nchini marekani. Taasisi ya dini Elevation Ministries inategemea kuzindua Manisa la wavutaji bang. The international church of cannibes ambalo litazinduliwa tarehe 20 ya mwezi huu. Lengo in kuwapa Uhuru Wa kuabudu. Waumini watajiita Elevationists. Msanii 2 Chains ni mmoja wapo wa wasanii waliojitokeza kutumbuiza siku ya uzinduzi wa kanisa hilo. Jengo hilo lina miaka 113 na hivi punde ndio limefanyiwa ukarabati.

WILL SMITH AMKATA MTOTO WAKE RASTA KISA FILAMU

Image
Staa wa Hollywood Will Smith amefanya kitendo cha kuchekesha ila cha kuhuzunisha kwa mtoto wake Jaden Smith ambaye pia ni staa kwa kumkata rasta (nywele) baada ya kuona dogo anazingua. Filam hiyo inayoitwa The life in a year. Ilibidi ili dogo aigize vizuri katika uhusika wake inabidi akate rasta zake.

JAY Z ATUKANWA MATUS KWA KUWA MBINAFISI KIBIASHARA

Image
Staa Jay z amatukanwa sana baada ya kufanya kitendo cha kutoa nyimbo zake toka mitandao ya Spotify na Apple. Badala yake iwe inasikilizwa katika mtandao wake Wa Tidal. Waandishi Wa habari baada ya kusikia kitendo hicho alichokifanya jay z wakamtusi na kumuita Messy B*tch kwa kuwa mbinafisi kibiashara.

CHRIS BROWN ASEMA HANA TATIZO NA ALIYECHUKUA EX WAKE...

Image
King huyo wa pop breezy ambaye juzi kati aliyekuwa mpenzi wake karreache Tiran kuonekana na rappa toka kundi la migos "quavo". Leo breezy katika mtandao wake wa Instagram kasema hana beef wala tatizo na anayekula ex wake. Mchizi wake quavo. Hivyo aleeeeee tu.

HILI NDILO GARI ALILONUNUA DIAMOND KWA AJILI YA MISELE AFRIKA YA KUSINI.

Image
Diamond plutnumz SIMBA baada ya kufika nyumbani kwake south AFRIKA.amenunua gari ambalo amesema ni kwa ajili ya matembezi ya hapa na pale. Kipindi ambacho atakuwepo hapo kusini mwa afrika BONDENI. TAZAMA GARI HILO HAPO CHINI. diamond plutnumz amesema haya "jus decided to get this for my south AFRIKA up and down trip...." 

BARAKAH DAH PRINCE ASEMA HAPANGIWI CHA KUFANYA NA MASHABIKI WA ALLY KIBA.

Image
Msanii dah prince anayebamba kinoma noma na ngoma yake ya " acha niende" amesema hayo baada ya kutukanwa na kusemwa sanaaaa na mashabiki baada ya kupost picha hiyo hapo juu katika mitandao ya kijamii. Mashabiki wadai ni msaliti kwa ally kiba baada ya kushirikiana na label ya rock star. Da prince azuka na kusema. Mashabiki wasimpangie cha KUFANYA. Zaidi wasubili vitu vizuri.

HARMO RAPPER ASEMA HAYA KUHUSU UTAJIRI WAKE NA KUMILIKI BASTOLA.

Image
Msanii mdogo mchachari anayeteka vichwa vya habari kila kukicha kwa vituko vyake "kiki" amesema kuwa. Hata kama ana utajili mkubwa kiasi kwani ana miliki gari, nyumba na vingine. Lakini hajawaza au kupanga kumiliki bastola kwa muda huu. Maana kama ni ulinzi anao Wa kutosha. "  Nina bodigadi mkali aliyepanda juu. Hivyo kumgusa, au kumuona au hata kukutana na HARMO RAPA sio rahisi kama unavyofikiria".

T.I ATANGAZA KUWA SINGLE BOY

Image
Msanii Clifford Harris a.k.a T.I amesema juzi katika moja ya televisheni nchini marekani kuwa. Sasa hivi yeye ni single boy. Ndoa yake na kattena tiny'cottle imevunjika. Hiyo ilifatia baada ya mwaka Jana mwezi Wa 12 baada ya mke wake kudai taraka. Ambapo ilitekelezwa wiki hii. T.I amesema maisha ya ndoa. Kuwa Mme Wa mtu tena yatamfanya asifanikiwe mambo yake hasa ya music. Hivyo yupo tayari kuwa single boy mpaka baadaye sana. Kuhusu yeye na mke wake watashirikiana kulea watoto wao basis sio mapenzi tena.

NEW VIDEO. AVRIL: UKO. WATCH

Image

NEW OFFICIAL VIDEO: ASLAY: ANGEKUONA

Image

MCHUNGAJI MASHIMO AMCHANA GWAJIMA

Image
Mchungaji huyo amesema kuwa. Askofu gwajima anafanya upuzi na mambo ya kijinga kuweka bifu kati ya watu wa serikali na watu wengine kama msanii diamond plutnumz. Anamsihi atubu. Kwa taarifa zaidi tazama video hapo chini

ROMA ADAI DOLA 500 KUIGIZA TUKIO LA KUTEKWA

Image
Msanii Wa Tanzania rapa Roma mkatoliki ambaye juzi kati alikuwa ametekwa na kupelekwa kusikojulikana na watu wasiojuliakana. Ameeleza kwenye vyombo vya habari kuwa yupo tayari kuigiza tukio zima la kutekwa ili iwe kama njia halisi ya watu kutambua tukio zima. Na pia iwe funzo kwa wengine. Mahususi. Amedai kulipwa dola 500 kwa kampuni yoyote, mtu binafisi au serikali ili aweze kuigiza tukio hilo.

HUYU NDIYE MPENZI WAKE MPYA WA X WAKE CHRIS BROWN.

Image
Aliyekuwa mpenzi wake Chris brown Karrueche Tran. Apata mpenzi mwingine ambaye ni mchizi wake brown toka kundi la Migos ajulikanaye kama Quavo. Inasemekana quavo amekuwa karibu na mrembo huyo hata kabla hawajaachana na brown. Lakini baada ya kuachana ndiyo wamekuwa wapenzi. Wameonekana kwenye show ya migps moja wakiwa wote. Karrueche yeye bado anaendelea na uigizaji Wa filamu take ya Clews.

LIL WAYNE AFUNGUKA KUHUSU KUJIUNGA ROC NATION YA JAY Z. BYE BYE CASH MONEY.

Image
Kutokana na mambo kuwa mabaya kati ya super star lil Wayne na boss wake Birdman Wa Cash money group. Lil Wayne juzi juzi kipindi akii perform show kwenye shule moja USA. Amesikika akisema kwa mashabiki. "Mnaonaje nikitangaza kuwa nipo na ROC NATION ya jay z?". Sababu nyingne ya kuhama cash money in deni lake LA $51 la kipindi alipotoa album yake ya Carter V.

WCB WANA NGOMA YA KUNDI

Image
Wakali Wa kundi liundalo WCB yaani rayvany, rich mavock, harmonize, queen darline na SIMBA Boss wao Diamond Plutnumz. Wana taraji kuachia ngoma yao mpya hivi karbuni ambayo wanafanya video. Suala hill limejionesha baada ya post Instagram za wasanii hao kudai mambo yakiwa sawa. Vuguvugu la hapa na pale likiisha mashabiki waruhusu ngoma iachiwe.

HARMO RAPA AMUZUKIA WEMA SEPETU LIVE...

Image
Msanii chipukizi ambaye ni gumzo hapa Tanzania Harmony rapa a.k.a "nyani" afanya maamuzi ya kumsaka wema sepetu live ili azidi kumueleza juu ya hisia za kimapenzi juu yake.kwa taarifa zaidi angalia video hapo chini...

NAY WA MITEGO ATISHIWA KUHAMA NCHI.

Image
Msanii nay wa mitego anayetamba na wimbo wake Wa "Wapo*" amesema kuwa juzi kapigiwa simu ahame nchi lasivo yatamkuta mabaya. Vitisho vingi amepewa......sikiliza na ona video ya mahojiano hapo juu

I PROMOTE TALENTED GUYS

Image
If you have a talent. You have recorded music, videos check me through mobile +255766637770 Or through email jayckjoseph@gmail.com I will help you to promote your talent. YOUR WELCOME. IT IS FOR FREE

THE FACT

Image
You should never let your fear prevent you from doing what you think is right. Develop confidence Keep strong The success is beyond the nature.

DRAKE KUTOONEKANA KATIKA VIDEO YA "COME CLOSER" SABABU HII HAPA

Super star Wa muziki wa Nigeria wizkid a. k.a Star boy amesema sababu ya drake kushindwa kuonekana kwenye video ya collabo yao ya come closer. Wizkid amesema haya "Kipindi drake ana shoot video ya "one dace" alikuwa na dharura kidogo. Na yeye kipindi ana shoot "come closer" drake alikuwa mwenye tour". Wizkid amesema hayo baada ya mashabiki wake kumuandama na kuchukizwa na kitendo hicho.     PATA HABARI ZA MASTAA HAPA. AUDIO NA HATA VIDEOS.  USIKOSE KUTEMBELEA BLOG HII

NDOA YA JANET JACKSON YAVUNJIKA

Super star wa Hollywood mtoto Wa hayati wa pop duniani michael Jackson. Janet Jackson. Ndoa yake na billionea imevunjika. Ukiachilia mbali kuwa walikua wamepata mtoto wao wa kwanza. Chanzo inasemekana billione huyo alikuwa anambana Janet  kutofanya mziki. Jambo ambalo ameona litamshushia idadi ya mashabiki hivyo kudhorotesha umarufu, kipaji na hata kipato kiujumla. Jambo pekee alilofanya ni kuvunja ndoa.

DIAMOND PLUTNUMZ AOMBA MSAMAHA.

DIAMOND PLUTNUMZ AMUOMBA MSAMAHA ASIKOFU GWAJIMA. Hii ilikuwa ni baada ya msanii huyo kutoa wimbo wake kwa "acha nikae kimya" Alimtaja askofu huyo kwa kuwa na bifu na mkuu Wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda. Na ajaoneza eti kiss ni binti Wa mgandao ndio mchochezi kwa kusema amezaa na askofu hiyo. "Aliyeniimba Mimi katika wimbo wake kesho alimasi itageuka kuwa maji" askofu aliyasema hayo juzi katika mahubiri take kanisani.