Hizi ndizo picha mpya za beyonce akiwa na ujauzito wake

Queen wa mziki wa Bollywood  Beyonce. Mke Wa msanii nguri Wa hip hop Jay z. Kufatia kuombwa na mashabiki wake kujua maendeleo ya ujauzito wake. Amepost picha hizi mbili zinazoonesha mimba imekua.
Ikunbukwe wanatarajiwa mapacha kuzaliwa na Beyonce kwa mujibu Wa wataaramu (madaktari) na vipimo.

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT