MAPACHA WALIOUNGANA WAMEHITIMU KIDATO. CHA SITA WAOMBA HIKI

Mapacha hao waliozaliwa wakiwa wameungana kama uwaonavyo katika picha. Mkoani iringa. Wamehitimu kidato cha SITA. Na wametoa ombi kwa watu wote nchini kama kuna uwezekano wakawasaidia kifedha ili waanzishe ujasiliamali kwa ajili ya kujikimu.
Wamelitamka hill baada ya mkuu wa mkoa mkoani humo kuwatembelea ili kujua maendeleo yao na kuwapongeza.

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT