DOGO JANJA ASEMA DAVIDO HAJUI KUVAA. ATAJA WASANII BONGO WANAOMFATA...




Msanii dogo janja toka kundi la Tip Top connection ameongelea uvaaji wa  msanii toka Nigeria Davido kuwa ni wa kishamba japokuwa anapesa. Hanunua nguo za Ku hit, zinazomfit fresh mwilini. 
Aidha amesema kuwa. wasaniiI wengi Wa bongo pia hawawezi kushindana nae katika mavazi kwani wao husubili kutungua nguo kariakoo wakati yeye anaagiza zake toka mbele (nje)
Vile vile ametaja list kidogo ya wasanii wanaojitahidi kumfata japo so sana kuwa ni kama,
Jux (juma)
G nako
Na kidogo sana Job makin.

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT