TIDAL: Ally kiba ndio msanii bora Tanzania








Kufuatia tamasha linalofanyika nchini uingeleza lijumuishalo wasanii mbali mbali toka Afrika. #OneAfricafestLondon. Msanii Wa Tanzania ametajwa na mtandao umilikiwao na nguri Wa hip hop Jay z Wa Tidal kuwa ndiye msanii bora Tanzania. Kupitia mtandao huo wamepost picha ya king kiba na kuandika kuwa. Ally kiba is the best singet in Africa....

Kwa taarifa zaidi za mastaa tembelea blog hii kila siku

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT