hii ndiyo picha bora ya mwaka huu ya msanii diamond

Kupitia page yake ya mashabiki msanii nassib abdur "diamond plutnumz" SIMBA ameweka picha hii na kuandika kuwa ndiyo picha yake ya mwaka huu 2017 na kuandika ujumbe mfupi kumhusu mke wake Zari the boss lady kuwa anadeka sana.

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT