Luis Suarez ataja wachezaji anaowakubari zaidi duniani


Mchezaji mashuhuri wa club ya Barcelona ya nchini Hispania na mzawa wa nchini Uruguay Luis Suarez jezi namba 9 mgongoni. Amefungua ukweli alionao juu ya wachezaji anaowakubari zaidi duniani kote.
Amewataja Neymar Jr na Messi kuwa bila wao kuwepo katika game LA mpila hajisikii vizuri. Na nzuri zaidi ni kukutana katika timu moja. Hiyo inamuongezea nguvu ya kuzidi kuwakubari zaidi.



Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT