Wema sepetu ahudhuria msiba wa shabiki yake...




Star wa bongo movie. Miss Tanzania 2006 amehudhuria msiba wa mmoja wa mashabiki wake @mwajuma_pesa (Instagram) baada ya kupata taarifa kuwa alikuwa shabiki wa team yake dam dam . ni baada ya kukuta amepost picha na video zake katika akaunti yake. Na kutoa rambi rambi kwa wafiwa.

Ni swala la kuigwa kwa wasaniiI wengine.

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT