Hii ndiyo top 5 ya wasanii wa hip hop matajiri duniani.

Mtandao wa Forbes umetoa orodha ya wana hip hop matajiri kuliko wote dunia nzima. Orodha hiyo ni ya top 5 ambapo mabadiliko ni machache sana kwa Jay z kumpiku Dr dree katika namba ya 3.
Orodha kamili ni hii
Namba 1 ni diddy 
Namba 2 ni Jay z
Namba 3 ni Dr dre
Namba 4 ni birdman
Namba 5 ni drake.

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT