TIMU KIBA wawanyampisha timu mond kwa picha hii...


Msanii ally kiba amepost picha akiwa na msanii wa kundi la p square (peter) kufuatia picha hiyo timu ya mashabiki wake wamepata la kuongea juu ya wapinzani wao timu mond. Mara oooh mind si lolote, nao mujibu, mnakopita sisi tushapita kabla.
Tunatarajia nini mbeleni... Twende sambamba katika blog hii..

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT