End sheeran amsaidia Rita ora kuandika wimbo


Msanii ed sheeran anayewika na wimbo wake wa shape of you amekuwa msaada kwa msanii Rita ora tangu alipomuandikia wimbo mwaka 2015 sasa anamuandikia mwingine mwaka huu ukienda kwa jina la your song. Suala ambalo limechukuliwa na kuonwa kama sheeran sio mchoyo.









Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT