PICHA YA BEN PAUL ILIYOZUA KIZAA ZAA MTANDAONI...




Msanii wa bongo fleva Bernard Paul a.k.a Ben Paul alitupia picha yake (tazama hapo chini) 
Akiwa uchi machoni mwaka watu. Picha ambayo watu wameitafsiri kwa namna tofauti. Mara anatafta kiki, Mara kakamatwa na mengine mengi. Ila mhusika hakusema kitu. Bali alirudia kuweka picha hiyo ikiambatana na muziki na ujumbe kuwa. Usihukumu kwa ukionacho bila kufungua au kujua undani wake. Yaonekana hiyo itakuwa cover ya wimbo mpya.

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT