HARMO RAPA: DOGO JANJA NI MREMBO TU...

Kufuatia kiki juu ya kiki ya msanii dogo janja juu ya kudai hakuna anaemshinda kuvaa kwa wasanii wote. Msanii Harmo rapa amejibu shambulizi hill kipindi akitambulisha ngoma yake ya Nundu ndani ya Friday night show ya eatv.
Amesema kuwa. "Dogo janja aache tabia yake ya kujisifu kuvaa kushinda wote kwani kuna wanyamwezi kama sisi ila hatusemi tunavaa hatari. Janjaro ni mrembo tu japo snatokea chugga".

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT