Popular posts from this blog
HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU
Juzi juzi ilikuwa Siku ya kuzaliwa ya muigizaji na aliyekuwa miss Tanzania 2006 wema mtoto Wa Mzee sepetu. Tangu alipoanza kufurahi Siku yake ya kuzaliwa ukumbini ghafla furaha ilipote baada ya mwanalimbwende muuza nyago katika video za wasanii mbalimbali nchini gigy money "gigy kiuno" kuonekana anacheza na baadhi ya zilipendwa wa wema tena kihasalahasala yaani kwa mitego mitego.
Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT
Kondakta Abbas Abdallah ambaye katika tukio hilo alijeruhiwa kwa risasi kichwani, alisema mwanafunzi huyo alipanda basi hilo kwenye kituo cha NIT Mabibo saa kumi na moja jioni. Alisema alipokuwa akiingia kwenye gari mwanafunzi huyo alikuwa akiongea kwa simu na hakukaa kwa sababu hakukuwa na kiti kilichokuwa wazi. “Daladala iliendelea na safari kama kawaida, tulipakia na kushusha abiria. Tulipofika kituo cha Magomeni Kanisani abiria walikuwa wamepungua, hivyo yule dada alikwenda kukaa siti ya mwisho
Comments
Post a Comment