Alichosema muigizaji Gabo kuhusu yeye na wema sepetu.

Baada ya taarifa kibao kuzagaa mitandaoni na baadhi ya magazeti kuwa Gabo ana date na wema sepetu.
Gabo mwenyewe kupitia interview yake na mtangazaji Sam missago amekanusha suala hilo na kusema ni watu wanavoona.
Ila tu kuhusu picha ni kwasababu ya project ya Ku shut movie

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT