RAYVANY ATOA SIRI YA MAFANIKIO YAKE


Msanii Wa bongo fleva nchini Tanzania toka kundi la WCB Raymondy au rayvany ameelezea na kutaja mambo muhimu yaliyomfanya MPAKA amefika hapo alipo na MAFANIKIO aliyoyapata kuwa ni
1. Mungu
2. Nidhamu
3.juhudi
Bila kusahau sapot toka kwa mashabiki 
Vitu hivyo ndivyo vimempelekea mpaka sasa ameteuliwa kuwania tuzo ya International viewers choice kutoka tuzo za BET2017 





Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT