LIL WAYNE ASHITAKIWA KWA UBAGUZI WA RANGI.






Msanii lil Wayne (weezy) alifanya tukio la kumpiga ngumi na kumtusi f*k u white boy. Mlinzi Wa club ya Hyde baada ya party waliyokuwa wameenda kuipiga kuisha akiwa na kundi lake.
Shitaka la lil Wayne ni kuhusu kumdhalilisha na kumbagua Mzungu huyo kisa rangi yake ya uweupe. 

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT