DJ KHALID ATANGAZA UJIO WA PINI NA DRAKE.








Msanii wa hip hop dj Khalid ameandika na kutangaza kwa ujio wa collabo kati yake na Drake. Pini hilo limepewa jina la TO THE MAX na cover itakuwa ina mtoto wake DJ.
Aidha song hilo limo ndani ya album yake ya GRATEFUL ambamo WASANII kama Beyonce, jay z, lil Wayne, rihana, Justin bearber na wengine kibao wamo. 

Comments

Popular posts from this blog

MFAHAMU MSANII MPYA WA WCB WASAFI.

HIVI NDIVYO GIGY MONEY ALIVYOMTOA MAPOVU WEMA SEPETU

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT