Posts

Kondakita wa daladala atoa ushuhuda kuhusu tukio la lupigwa risasi mwanafunzi wa chuo cha NIT

Kondakta Abbas Abdallah ambaye katika tukio hilo alijeruhiwa kwa risasi kichwani, alisema mwanafunzi huyo alipanda basi hilo kwenye kituo cha NIT Mabibo saa kumi na moja jioni. Alisema alipokuwa akiingia kwenye gari mwanafunzi huyo alikuwa akiongea kwa simu na hakukaa kwa sababu hakukuwa na kiti kilichokuwa wazi. “Daladala iliendelea na safari kama kawaida, tulipakia na kushusha abiria. Tulipofika kituo cha Magomeni Kanisani abiria walikuwa wamepungua, hivyo yule dada alikwenda kukaa siti ya mwisho

All about jackson joseph events

Image